Dumisha usalama dhidi ya ufuatiliaji wa taarifa ambao haukubaliki na matangazo ya kuudhi. Lifanye eneo lako liwe kwenye faragha, na uhakikishe kwamba historia yako ya matumizi ya mtandao haijulikani kwa 100%. Ni rahisi kuanza! Ingiza HQ VPN.
Anuani ya IP ya umma huruhusu kuzuia, kuelekeza upya, na kukagua huduma na shughuli zako za kwenye tovuti. Kutumia VPN hukufanya udhibiti matumizi yako ya mtandaoni. HQ VPN itabadilisha anuani yako ya IP hadi kwenye eneo tofauti, na itafungua tovuti zisizopatikana kwenye eneo lako. Hakuna udhibiti tena, hakuna vikwazo.
Usiruhusu watu wengine waamue ni maudhui gani unayoweza kuyafikia au usiyoweza kuyafikia. Tumia HQ VPN kuvivuka vikwazo vya kijiografia na kufurahia maudhui yaliyozuiwa ulimwenguni kote. Tumia HQ VPN kupata ufikiaji usio na kikomo wa maudhui unayoyapenda!
Tumia HQ VPN kununua kwa usalama. HQ VPN huongeza safu ya ziada ya usalama unapovinjari maduka ya mtandaoni. HQ VPN hufuatilia mienendo ya mtandao wako na kuificha anuani yako ya IP wakati unaponunua. Wakati mwingine maduka ya mtandaoni hubadilisha bei kwa wageni kulingana na eneo lao. Tumia HQ VPN kulinganisha bei kwenye maeneo tofauti na uokoe pesa. Badili hali ya biashara pepe wakati ukitumia HQ VPN ili kuzifikia rasilimali zozote za mtandaoni unazozihitaji.
Je, umewahi kukumbana na kushuka kwa ghafla kwa maunganisho yako ya intaneti? Inaitwa bandwidth throttling. Mtoa huduma wako wa mtandao hupunguza kasi ya maunganisho yako kulingana na shughuli zako za mtandaoni. Vizuie vikwazo hivyo vya kasi visivyokubalika ukitumia HQ VPN. Inafanyaje kazi? HQ VPN hutuma mipangilio yako kupitia sehemu iliyofichwa, na kumfanya mtoa huduma wako asione shughuli zako za mtandaoni ili asiweze kukuchagua kwa ajili ya kuuyumbisha mtandao wako.