Najuwa IP address yangu

Data zako zinaweza kufikiwa na kila mtu. Ziweke kuwa faragha, tumia VPN.

None

Kwa nini ufiche IP yako?

Unapovinjari tovuti basi anuani yako ya IP ni ya umma kwenye chaguo la msingi. Mitandao ya matangazo na watoa huduma za intaneti wanaweza kufuatilia shughuli zako za mtandaoni kupitia anuani yako ya IP. Kuficha anuani yako ya IP husaidia kulinda taarifa yako, kuzifanya shughuli zako za mtandaoni kuwa ni za siri na kuepuka ufuatiliaji usiotakiwa. Njia bora ya kuficha IP yako ni kutumia huduma ya VPN.

HQ VPN ina faida zipi nyingine?

None

Linda taarifa yako

Dumisha usalama dhidi ya ufuatiliaji wa taarifa ambao haukubaliki na matangazo ya kuudhi. Lifanye eneo lako liwe kwenye faragha, na uhakikishe kwamba historia yako ya matumizi ya mtandao haijulikani kwa 100%. Ni rahisi kuanza! Ingiza HQ VPN.

None

Zifikie huduma na tovuti zilizozuiwa

Anuani ya IP ya umma huruhusu kuzuia, kuelekeza upya, na kukagua huduma na shughuli zako za kwenye tovuti. Kutumia VPN hukufanya udhibiti matumizi yako ya mtandaoni. HQ VPN itabadilisha anuani yako ya IP hadi kwenye eneo tofauti, na itafungua tovuti zisizopatikana kwenye eneo lako. Hakuna udhibiti tena, hakuna vikwazo.

None

Yafikie maudhui unayoyapenda

Usiruhusu watu wengine waamue ni maudhui gani unayoweza kuyafikia au usiyoweza kuyafikia. Tumia HQ VPN kuvivuka vikwazo vya kijiografia na kufurahia maudhui yaliyozuiwa ulimwenguni kote. Tumia HQ VPN kupata ufikiaji usio na kikomo wa maudhui unayoyapenda!

None

Wewe ni mpenzi wa manunuzi ya kimataifa?

Tumia HQ VPN kununua kwa usalama. HQ VPN huongeza safu ya ziada ya usalama unapovinjari maduka ya mtandaoni. HQ VPN hufuatilia mienendo ya mtandao wako na kuificha anuani yako ya IP wakati unaponunua. Wakati mwingine maduka ya mtandaoni hubadilisha bei kwa wageni kulingana na eneo lao. Tumia HQ VPN kulinganisha bei kwenye maeneo tofauti na uokoe pesa. Badili hali ya biashara pepe wakati ukitumia HQ VPN ili kuzifikia rasilimali zozote za mtandaoni unazozihitaji.

None

Furahia maunganisho ya intaneti kwa kasi kamili ukitumia HQ VPN!

Je, umewahi kukumbana na kushuka kwa ghafla kwa maunganisho yako ya intaneti? Inaitwa bandwidth throttling. Mtoa huduma wako wa mtandao hupunguza kasi ya maunganisho yako kulingana na shughuli zako za mtandaoni. Vizuie vikwazo hivyo vya kasi visivyokubalika ukitumia HQ VPN. Inafanyaje kazi? HQ VPN hutuma mipangilio yako kupitia sehemu iliyofichwa, na kumfanya mtoa huduma wako asione shughuli zako za mtandaoni ili asiweze kukuchagua kwa ajili ya kuuyumbisha mtandao wako.